Nitukio la kusikitisha lililotokea Nchini Nigeria baada ya msichana
mmoja kuamua kuchukua maamuzi ya kujinyoga baada ya kuasilitiwa na
mpenzi wake
Taarifa kutoka kwa ndugu zake wa karibu ni kwamba mwili ma marehemu
ulipatikana nyuma ya jumba baada ya siku chache majina yao marehemu na
mpenzi wake yameifadhiwa
No comments:
Post a Comment