Mrembo Miss Tanzania aongoza wakazi wa dar katika zoezi la uchangiaji damu jijini dar leo
Mshindi
wa tatu wa Miss Tanzania 2014,Doris Mollel akishiriki zoezi la
uchangiaji damu katika ikiwa ni sehemu ya kusherehekea Siku ya wanawake
Duniani,iliyofanyika Buguruni Chama jijini Dar es Salaam leo. Kushoto
Ofisa Muuguzi kutoka Benki ya Damu Salama,Selina Joseph. Zoezi hilo la
uchangiaji damu liliandaliwa na Mrembo huyo.
Baadhi
ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakishiliki zoezi la uchangiaji damu
katika kusherehekea Siku ya wanawake Duniani,iliyofanyika Buguruni
Chama jijini Dar es Salaam leo.
Mpiga
Picha wa Kampuni ya New Habari (2006) Ltd,John Dande akipima uzito
tayari kwa kushiriki zoezi la uchangiaji damu,ikiwa ni sehemu kuunga
mkono sherehe za Siku ya wanawake Duniani.zoezi hilo limefanyika
Buguruni Chama jijini Dar es Salaam leo.Picha na John Dande.
No comments:
Post a Comment