Baada ya story ya Chris Brown kuwa na mtoto, haya ni maneno 21 kwenye tweet ya Karrueche..

Mitandaoni jana na leo story kubwa kwa Marekani kuhusu mastaa ni ishu ya Chris Brown
kuwa na tetesi ambazo zimegeuzwa ishu kubwa japo mwenyewe
hajathibitisha kuwa eti jamaa huyu ni baba wa mtoto wa kike mwenye umri
wa miezi 9 sasa huenda ukawa mwisho wa mapenzi yake na mwanamitindo
Karrueche Tran.
Chris Brown anadaiwa kuwa ana mtoto ambaye wamezaa na mwanamitindo Nia ambaye waliwahi kuwa na uhusiano ambao haukudumu kwa muda mrefu.
Karrueche
ameandika kwenye ukurasa kwenye ukurasa wake Twitter jana kuwa hana
mpango wa kuendelea na uhusiano na staa huyo huku akimtakia maisha mema
na familia yake; “Listen. One can only take so much. The best of luck to Chris and his family. No baby drama for me“
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza
No comments:
Post a Comment