Sherehe ya kuapishwa Mnadhimu Mkuu wa JWTZ na Mkuu wa JKT iliyofanyika Ikulu tarehe 26 Septemba 12
Mnadhimu Mkuu Luteni Jenerali Samweli Ndomba akiapa mbele ya Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Jakaya Kikwete
Mkuu wa JKT Meja Jenerali Raphael Muhuga akiapa mbele ya Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Jakaya Kikwete
Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Jakaya
Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis
Mwamunyange(kushoto), Mnadhimu Mkuu Luteni Jenerali Samwel Ndomba(wapili
kulia) na Mkuu wa JKT Meja Jenerali Raphael Muhuga.
Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dk Jakaya
Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi
Jenerali Davis Mwamunyange na Mnadhimu Mkuu Luteni Jenerali Samwel
Ndomba na Mnadhimu Mkuu aliyestaafu Luteni Jenerali Abdulrahamani Shimbo
(aliyevaa suti).
Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Jakaya
Kikwete akiwa na Kaimu Mkuu wa Utumishi Jeshini, Meja Jenerali Grace
Mwakipunda(kulia) na Mkurugenzi wa Rasilimali Watu Jeshini, Meja
Jenerali Lilian Kingazi.
Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Jakaya
Kikwete, Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi
Jenerali Davis Mwamunyange wakiwa na wanadhimu wa JWTZ.
Posted on 27-Sep-12 02:07.
No comments:
Post a Comment