Mke wa msanii Noorah "Camila Kingwalu" afariki dunia
Akizungumza na Clouds Fm leo hii, Noorah ambae yuko njiani akielekea
msibani, amesema, mkewe alikuwa anasumbuliwa na matatizo ya kifua,
"alikuwa akibanwa sana na kifua kiasi cha kushindwa kupumua vizuri" amesema Noorah.
Marehem alikuwa anaitwa Anna Kingwalu, lakini baada ya kuolewa na Noorah ndio akapewa jina la Camila
No comments:
Post a Comment