Aliota ndoto mpenzi wake kampiga kibao usingizini, hiki ndicho alichokiamua na yeye !!
Mwanamke
mmoja nchini Nigeria anashikiliwa na Polisi kutokana na kosa la mauaji
ya mtu ambaye alikuwa ni mpenzi wake.. kisa chote kilianzia kwenye ndoto
!!

Eric alicheka baada ya kusikia story hiyo lakini kumbe Monsurat hakupenda, akachukua kisu na kumchoma mpenzi wake huyo ambaye alifariki.
Upelelezi wa Polisi umeonesha wote wawili walikuwa ni wanafunzi na walikuwa wakiimba kwaya pia ya kanisa.
No comments:
Post a Comment