Unatamani kuona kionjo cha VIDEO mpya ya Diamond Platnumz? Karibu hapa uicheki…
‘Nitampata Wapi‘ ni hit ya mkali anayeiwakilisha vizuri TZ kupitia muziki anaoufanya, Diamond Platnumz.. Jina lake sio geni kwa wapenzi wa muziki Afrika.
Ngoma yake hiyo aliyoitoa mara ya mwisho bado inafanya vizuri.. Wanigeria wanatoa ngoma mpya kila siku, Diamond anataka nae anataka kuwa kama wao?
Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameamua kushare na sisi teaser ya video ya wimbo wake mpya unaoitwa ‘Nasema Nawe‘ ambao audio yake tayari iko mtaani na kuandika maneno; “Naombeni Ruksa zenu waungwana nianze Kuzifumua…“@diamondplatnumz

No comments:
Post a Comment