Soudy Brown amekutana na Diamond na Zari.. Swali la ujauzito limejibiwa? #UHeard

Wakati huo Diamond alikuwa anakula chakula lakini Zari hakuwa anakula.. katika mazungumzo yao Soudy alimuuliza Zari kwanini yeye hali, akamjibu kwamba ameshakula sana.
Swali jingine la Soudy lilikuwa ishu ya ujauzito, akamwambia kwamba watu hawaamini kama kweli ana ujauzito.. Zari akacheka na hakujibu chochote.
No comments:
Post a Comment