Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa akifurahia jambo na
Mbunge wa Viti Maalumu, Zainabu Vullu katika viwanja vya bunge
walipohudhuria kikao cha pili cha mkutano wa 18 wa Bunge mjini Dodoma
jana.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa akielezwa jambo na
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi katika
viwanja vya Bunge, mjini Dodoma jana.
No comments:
Post a Comment