Marehemu Fidel Odinga Alikuwa ni Zaidi ya Kambi ya Jeshi Tizama Silaha zilizokutwa kwake.
Fidel Odinga na mkewe
Polisi
kenya ambao walikuwa wakifanya uchunguzi juu ya kifo cha mtoto wa
waziri mkuu wa zamani wa nchini hiyo Raila odinga, Fidel Odinga na
Repoti ya polisi inasema kwamba ndani ya Nyumba yake kulikuwa na risasi
ndogo na risasi ya kurushia bomu na zaidi ya risasi 1900 ndaniya nyumba
yake iliyoke Karen jijini Nairobi,
Pia
walifanikiwa kukuta jacket proof zinazotumika kuzuia risasi na miwani
za usiku maarufu kama and night vision goggles. Polisi wanasema Marehemu
Fidel Odinga alikuwa na usajili wa kumiliki silaha ndogo
No comments:
Post a Comment