TPDC YATOA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA GESI ASILIA KUTOKA MADIMBA MTWARA,SONGO SONGO LINDI NA PWANI HADI DAR ES SALAAM.
Kutoka
Kushoto ni Injinia Norbert Kashozya Kamishina Msaidizi-GAS, Kaimu
Mkurugenzi wa TPDC James andulile, Mwenyekiti wa Bodi TPDC Michael
Mwande, Kaimu Meneja Mkuu wa GASCO Injinia Kapuulya Musomba na Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Maendeleleo ya Mafuta Gesi Injinia Joyce Kisamo. 
Kaimu
Mkurugenzi wa TPDC James Andulile akimkaribisha Mwenyekiti wa Bodi ya
TPDC kuongea na waandishi wa Habari katika Mkutano wa Taarifa ya
Utekelezaji wa Ujenzi wa Miundombinu ya Gesi Asilia kutoka Madimba
Mtwara , Songo Songo, Lindi,na Pwani hadi Dar es salaam.
Mwenyekiti
wa Bodi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Michael
Mwande akielezea kwa kina juu ya Taarifa ya Utekelezaji wa Ujenzi wa
Miundombinu ya Gesi Asilia kutoka Madimba Mtwara , Songo Songo, Lindi,na
Pwani hadi Dar es salaam leo.
Kaimu
Meneja Mkuu wa GASCO Injinia Kapuulya Musomba akizungumzia juu ya
utekelezaji wa Taarifa ya Utekelezaji wa Ujenzi wa Miundombinu ya Gesi
Asilia kutoka Madimba Mtwara , Songo Songo, Lindi,na Pwani hadi Dar es
salaam leo.
Waandishi
wa habari wakiwa katika Mkutano wa Taarifa ya Utekelezaji wa Ujenzi wa
Miundombinu ya Gesi Asilia kutoka Madimba Mtwara , Songo Songo, Lindi,na
Pwani hadi Dar es salaam leo.
NA DAR ES SALAAM YETU
No comments:
Post a Comment