MASKINI HAFSA KAZINJA! ASIMULIA ALIVYO-TESWA NA MAUZAUZA!
Mwanamuziki aliyeamua kumgeukia Mungu na kuokoka, Hafsa Kazinja.
Stori: Mayasa Mariwata
MWANAMUZIKI aliyeamua kumgeukia Mungu na kuokoka, Hafsa Kazinja amefunguka kuwa alikuwa akiteswa na mauzauza ya kishirikina pindi alipokuwa katika majukwaa akiimba Bongo Fleva.
MWANAMUZIKI aliyeamua kumgeukia Mungu na kuokoka, Hafsa Kazinja amefunguka kuwa alikuwa akiteswa na mauzauza ya kishirikina pindi alipokuwa katika majukwaa akiimba Bongo Fleva.
Akipiga
stori na paparazi wetu, Hafsa alisema alikumbana na mambo mengi sana ya
ajabu ikiwemo kuona majoka makubwa jukwaani akiwa anatumbuiza na sauti
za ajabu za mara kwa mara.
Hafsa Kazinja akipozi.
“Nilikuwa
naishi maisha ya ajabu sana jamani yaani, nikiwa jukwaani naimba basi
naanza kusikia sauti za ajabu mara naona majoka makubwa yanapita pita
mbele yangu na kunifanya niishiwe pozi katika utumbuizaji wangu, hayo
yote najua zilikuwa chuki za binadamu, nashukuru tangu niokoke hivi sasa
sina matatizo hayo kabisa,” alisema Hafsa.
No comments:
Post a Comment