Rais Dk.Shein Awaalika Chakula Madaktari Bingwa kutoka Uingereza.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamaed Shein (kushoto) akiwa na madakatari Bingwa wa
maradhi yanayohusiana na mfumo wa utoaji wa haja ndogo kutoka
Uingereza alipowaalika chakula cha mchana Ikulu Mjini Zanzibar leo
madaktari hao wapo nchini baada ya kuhudhria mkutano maalum uliofanyika juzi katika Hoteli ya Breezes Hotel Bwejuu Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja,
Baadhi ya Madaktari Bingwa wa maradhi yanayohusiana na mfumo wa utoaji wa haja ndogo kutoka Uingereza wakiwa katika chakula cha mchana walichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamaed Shein Ikulu Mjini Zanzibar leo, madaktari hao wapo nchini baada ya kuhudhria mkutano maalum uliofanyika juzi katika Hoteli ya Breezes Hotel Bwejuu Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamaed Shein (kushoto) akiagana na madakatari Bingwa wa
maradhi yanayohusiana na mfumo wa utoaji wa haja ndogo kutoka
Uingereza alipowaalika chakula cha mchana Ikulu Mjini Zanzibar leo,
madaktari hao wapo nchini baada ya kuhudhria mkutano maalum uliofanyika juzi katika Hoteli ya Breezes Hotel Bwejuu Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja,
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamaed Shein
(katikati) akiwa katika picha na ya pamoja na na madakatari Bingwa wa
maradhi yanayohusiana na mfumo wa utoaji wa haja ndogo kutoka Uingereza
alipowaalika chakula cha mchana Ikulu Mjini Zanzibar leo,pia wakiwepo
Viongozi wengine wa Serikali, madaktari hao wapo nchini baada ya
kuhudhria mkutano maalum uliofanyika juzi katika Hoteli ya Breezes Hotel Bwejuu Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment