SIMBA SC WATUA JIJINI DAR NA KOMBE LA MAPINDUZI
Kipa wa Simba SC, Manyika Peter akikabidhi Kombe la Mapinduzi kwa
mashabiki wa timu hiyo mara baada ya kuwasili kutoka Mjini Zanzibar leo.
KIKOSI cha Wekundu wa Msimbazi, Simba SC kilichotwaa Kombe la Mapinduzi
jana usiku kwa kuifunga Mtibwa Sugar kwa penalti 4-3 kimewasili jijini
Dar leo kikitokea Mjini Zanzibar.
No comments:
Post a Comment