PEPO MCHAFU NDANI YA BONGO MUVI! WASTARA AFUNGUKA KIIVI!
Msanii anayefanya vizuri kunako kiwanda cha filamu Bongo, Wastara Juma.
MSANII anayefanya
vizuri kunako kiwanda cha filamu Bongo, Wastara Juma amefunguka kwamba
tasnia ya filamu kwa sasa inaonekana kama imeingiliwa na pepo mbaya
kutokana na mambo kwenda ndivyo sivyo kila kukicha.“Mimi sitengenezi filamu mpaka nielewane na bosi bei kabisa lakini vinginevyo ndiyo maana nimeamua kujikita kwenye biashara ili niweze kuendeleza maisha ya kila siku maana tasnia haieleweki sasa hivi, naona kama pepo mbaya ametuvamia inatakiwa tumuombe Mungu sana,” alisema Wastara.
No comments:
Post a Comment