Picha za Lulu Michael Zatikisa Mitandao ya Kijmanii, HEBU MWANGALIE HAPA.
Staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael Kimemeta 'Lulu' akiwa katika
mapozi tofauti baada ya kuachia picha hizi kupitia account yake ya
Instagram siku ya Hivi Karibuni na kupelekea kutikisa katika mitandao ya
kijamii huku wapenzi wake wakimuita Kim Kardashian wa bongo.
No comments:
Post a Comment