Saturday, February 7, 2015

MSIBA WA BABA YAO P SQUARE WASHANGAZA WENGI!!

Acha kabisa! Mazishi ya baba wa mastaa wa
muziki wa Nigeria, mapacha Peter na Paul Okoye
wanaounda ‘Kruu’ ya P-Square, Moses Okoye
aliyefariki dunia Novemba 24, 2014 yamefanyika
kama sherehe siku ya Ijumaa januari 30 mwaka
huu.




Mwili wa baba wa P-Square, marehemu Moses
Okoye ukisindikizwa kwenye gari kwa tarumbeta.


Kinacho Shangaza Zaidi Kuhusu WASANII HAO NI KWAMBA:

"MAZISHI YA BABA YAO P-SQUARE
KAMA SHEREHE, BABA YAO AKIWA
MOCHWARI KWA MIEZI MIWILI
JAMAA WALIKUA WANAPIGA SHOO
KAMA KAWAIDA."

Tutembelee MJUMBE BLOG Kwa picha,Matangazo,Matukio,Habari,Taarifa kila siku.

No comments:

Post a Comment