MKUTANO WA KUJADILI NAMNA YA KUKABILIANA NA MAAFA MBALIMBALI WAFANYIKA ZANZIBAR.
Makamo
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akisalimiana na
Viongozi mbalimbali alipoingia katika mkutano wa kujadili namna ya
kujiandaa kukabiliana na maafa mbalimbali yanayoweza kutokea Mkutano
uliofanyika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mbweni Zanzibar.
Makamo
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akisalimiana na Command
Surgeo Usafricom Philip C Knight Sheen alipoingia katika mkutano wa
kujadili namna ya kujiandaa kukabiliana na maafa mbalimbali yanayoweza
kutokea Mkutano uliofanyika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mbweni
Zanzibar.
Baadhi
ya Viongozi wa Nchi Tano za mataifa mbalimbali walioshiriki katika
mkutano wa kujadili namna ya kujiandaa kukabiliana na maafa mbalimbali
yanayoweza kutokea Mkutano uliofanyika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort
Mbweni Zanzibar.
Command
Surgeo Usafricom Philip C Knight Sheen akitoa hotuba yake katika
mkutano wa kujadili namna ya kujiandaa kukabiliana na maafa mbalimbali
yanayoweza kutokea Mkutano uliofanyika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort
Mbweni Zanzibar.
Waziri
wa Nchi Afisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mohd Aboud Mohd kitoa hotuba
yake katika mkutano wa kujadili namna ya kujiandaa kukabiliana na maafa
mbalimbali yanayoweza kutokea Mkutano uliofanyika Hoteli ya Zanzibar
Beach Resort Mbweni Zanzibar.
Makamo
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akitoa hotuba katika
mkutano wa kujadili namna ya kujiandaa kukabiliana na maafa mbalimbali
yanayoweza kutokea Mkutano uliofanyika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort
Mbweni Zanzibar.
No comments:
Post a Comment