CHAMA CHA SANAA MBEYA(CHASAMBE) CHAPATA WALEZI WAPYA
Mwenyekiti
wa Chama cha sanaa Jiji la Mbeya(Chasambe), Samwel Mwamboma akifuatilia jambo
katika hafla ya kuwatambulisha walezi wapya wa chama hicho.
|
Katibu
wa Chasambe, Ramadhan S. Ramadhan akisoma risala ya Chama hicho mbele ya walezi
wapya katika hafla iliyofanyika Mbeya Hotel.
|
No comments:
Post a Comment