Kama Una Kipaji cha Utangazaji wa Redio hii Hapa Kutoka Kwa Millard Ayo inakuhusu
"Najua nina watu wangu wanapenda sana utangazaji.... unapenda kukionesha kipaji chako mbele ya mtu wako #millardayo ?!! unaweza kuongea Kiswahili na Kiingereza kwa UFASAHA? ungependa siku moja uwe sehemu ya timu ya #MillardAyo kwenye #Radio na #TV ? kaa karibu yangu siku sio nyingi nitakupa njia za kunifikia, usiache kumtag mtu unaeamini anakipaji cha utangazaji wa Radio na TV. #TZA #POWER101 #BASE'
No comments:
Post a Comment