Mkutano ulihutubiwa na kiongozi wa chama cha Wazalendo ACT
katika viwanja vya Nzovwe mbeya huku Mh Zito Kabwe akiahidi kuwa (Pesa
zangu za halali za kiinua mgongo za ubunge zote ntazipereke shule ya
walemavu wa ngozi.albino SHINYANGA.) alisema Zitto Kabwe
No comments:
Post a Comment